Wakulaumiwa.ni wanachama was Simba, wengi wapo kimaslahi hawana uchungu na timu ndio.maana wapo tayari kupewa rushwa kupitisha kiongozi asiyefaa. Huu mgogoro ni matokeo ya uhuni waliofanya wakati wa uchaguzi.
Sawaa. Mimi nakwambia kama ulikuwa unaangalia vizuri ule mpira kipindi cha kwanza tu kingekwambia Simba haendi kushinda ile mechi na siyo kwamba ilikuwa inacheza vibaya. Sitasema zaidi ya hapo ila turudi hapa mzunguko wa kwanza ukiisha