Uchaguzi 2020 Kosa kubwa walilofanya CCM kwenye kampeni zao ni kupoteza muda kusifia yaliyopita badala ya kueleza watafanya nini

Tukipiga kura tutazilinda ili kuzuia maboksi yenu ya kura fake kuingizwa vituoni, safari hii hamna pakutokea wapuuzi nyie.
Kweli mkuu, Kura feki ndo tegemeo pekee la hawa wakoloni weusi. Wakidhibitiwa hapo, kwisha habari yao..
 
Tukipiga kura tutazilinda ili kuzuia maboksi yenu ya kura fake kuingizwa vituoni, safari hii hamna pakutokea wapuuzi nyie.
Utaweza kulinda kura vituo 81,567?, Unajua yawezekana hapo hata 10,000 havi exist kiuhalisia?.. ninapowaambia Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Tanzania ninajua ninachokisema. Nyie endeleeni kushangilia NI YEYE kama mazuzu. Hata ukoo wako wote na mkoa unaokaa wote ukampigie kura Lissu hashindi ng'o.
 
bila shaka
 
Kila kituo lzm kijulikane kilipo na kiwe na wakala wa Cdm
 
Kulikuwa na ndege za FASTJET,
Dar - Mwanza ilikuwa sh elfu 70, sasa jiwe kaua Fastjet ameleta madege ya Bombadier ya kinyonyaji, Dar - Mwanza kwa sasa ni sh laki 4, afu jiwe anawadhihaki wanyonge kuwa anawasaidia!
Alone kutuita sisi wanyonge,tumesha shituka
 
Hivyo ambavyo havi exist wapiga kura wake ni maruhani
 
Kumbe hawezi kuwa Rais kwa vile CCM wanatega mitambo. Kwa iyo bila mitambo Lissu anaweza kuwa Rais basi ondoa neno never.👆
 
Kwahiyo unajua kabisa Magufuli hawezi kushinda kwa kura halali.
 
Kumbe hawezi kuwa Rais kwa vile CCM wanatega mitambo. Kwa iyo bila mitambo Lissu anaweza kuwa Rais basi ondoa neno never.👆
Vyovyote vile na kwa gharama yoyote ile hawezi kuwa Raisi wa Tanzania. Na sababu za msingi kabisa zipo. Nyie endeleeni kukata mauno Ni yeye.
 
Utaweza kulinda kura vituo 81,567?, Unajua yawezekana hapo hata 10,000 havi exist kiuhalisia?..
CHADEMA
Embu njooni huku mfanyie kazi haraka hili suala... Wapiga kura hatutaki kubahatisha. Mkoloni lzm asulubiwe. Nyie jitahidi tu kuhakikisha usalama wa kura, plus kutokuwepo VITUO HEWA na KURA HEWA
 
CHADEMA
Embu njooni huku mfanyie kazi haraka hili suala... Wapiga kura hatutaki kubahatisha. Mkoloni lzm asulubiwe. Nyie jitahidi tu kuhakikisha usalama wa kura, plus kutokuwepo VITUO HEWA na KURA HEWA
Umeshachelewa wewe endelea kushangilia nyomi la Lissu na kuimba Ni yeye, hata mfanyeje Lissu hawezi kuwa Raisi wa Tanzania.
 
Naunga mkono mawazo yako,huyu Mzee anasahau hapo hapo maana akimaliza kusema maendeleo hayana vyama anasema msipowachagua kina Gwajimaaaaaaa hakuna maendeleo!Maajabu ni pale washangiliaji huongeza sauti za vigelegele wapigavyo,utasikia waambieee babaaaaa.Aibu,mgombea anaamrisha apewe kura kwa kutoa ahadi na kutishia wapiga kura wake!Haya yanafanywa na CCM,wanaahidi,wanatishia na kuwajaza hofu wapiga kura na hakuna wa kuwakemea juu ya uvunjifu mkubwa wa maadili/makatazo yote ya uchaguzi huu wakiwamo NEC,wapo kwenye Mute mode yanapotendwa na CCM ila mambo hayo yakifanywa na wapinzani wanazuiliwa kufanya kampeni.Unamfungia mawe bondia moja ulingoni huku ndondi zikiendelea?
Watanzania wanatakiwa kuchagua viongozi wanaoonekana kuwa watenda Haki na kuachana na hawa watawala wanaojifanya miungu watu.Twende na Lissu,Maalim,wabunge,wawakilishi na madiwani wa upinzani,wanatosha kutuongoza ili tuirejeshe Tanzania katika njia na nafasi yake stahili duniani.Nchi hii ya Tanzania Mungu amekuwa akiipigania na kuipa raslimali za kuiwezesha kuwa nchi iliyoendelea(Nchi Tajiri) endapo tu ingepata Uongozi Bora.
 
Hawjawahi ku
Hivi sera ya CCM mwaka huu ni ipi? Maana nasikia tu " Mitano tena "
Hawajawahi kuwa na Sera hawa CCM,miaka yote wanatembelea nyota ya wapinzani.Chukulia Elimu bila malipo wameinyakua kutoka CDM lakini hawakunakili jinsi CDM walivyokuwa waitekeleze ndiyo maana inawatesa.Juzi juzi tumesikia wakinakili kwa kubeep sera ya Bima ya Afya kwa Watanzania wote ya CDM wakti CCM ikiwa na Bima ya Afya inayobagua wanachama wa bima kwa madaraja na kuwakosesha huduma au dawa kwa sababu bima hailipii huduma husika ukiachilia mbali suala la Customer Care.CCM huwa haina sera bali ulaghai,miaka yote tunaambiwa uchumi unapaa huku hali ya uchumi wa wananchi ikidorora mfululizo.
Tunayo nafasi ya kubadili haya kwa kura zetu,tuwachague viongozi wenye Sera ya maendeleo ya watu Huru na wanaifaidi kwa Haki matunda ya nchi yetu.
 
Halafu cha ajabu wanajisifia bila kuwa na vipimo! Halafu pia wanajilinganisha na wenzao utafikiri nao walikuwa wanaongoza serikali na kukusanya kodi!
 
Umesema kweli,maisha ni kufikia na kufanikisha mambo/vitu vipya.Maisha ni Future and Not the past.
 
Umeshachelewa wewe endelea kushangilia nyomi la Lissu na kuimba Ni yeye, hata mfanyeje Lissu hawezi kuwa Raisi wa Tanzania.
Dogo, wakoloni woote husema hivo, lkn mwisho huzidiwa. Nguvu ya umma siyo mchezo. Hata hao mnaotegemea wawasaidie kufanya wizi kupitia kura hewa na VITUO hewa washawachoka
 
Lugha za tumejenga badala ya tutajenga....tumeboresha badala ya tutaboresha...yaani ngeli ya -ta- badala ya ngeli ya -me- ingetumika zaidi
 

Tatizo Ni Jiwe Magufuli na Timu yake ya Kampeni:

1. Bwana Slowslow- K/Mwenezi.
2. Bwana Bushiri Alii- K/Mkuu.
3. Bibi Samia Suluhu- M/Rais.

Hawajui walitendalo wala waendako. Mhe. Tundu Lissu amewavuruga kiasi Cha kupoteana!

Kwa sasa wameishiwa Sera na Hoja wanachofanya ni kuvizia Rais wa A6 amesema nini ili wajibu hoja zake: MISHAHARA, VITAMBULISHO machinga/Wajasiriamali, Bima ya Afya, Maendeleo ya Vitu badala ya Watu, Ufisadi Chattle Airport, etc. Hawana jipya ni Usanii, ngonjera na longolongo kwa wingi!!!
 
Huo mradi wao wa kusifiasifia kwa mapambio ya kila aina, umefeli vibaya! Kwa miaka yote 5 wameiharibu hovyo jamii yetu, wanataka kutuaminisha kuwa ujenzi wa miradi ni hisani ya serikali wakani jambo hilo ni wajibu wa lazima! CCM haitufai kabisa, wapishe wakae kando wakajifunze siasa za kistarabu sio mabavua na hila!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…