Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado JD anampenda G. Na G bado anampenda JD si ajabu wakarudiana siku za usoni - cheza na hivi vikojoleo vikishafahamiana kwa muda mrefuJamani ifike mahali, jide atafute source nyingine ya kupatia lyrics zake bwana, kang'ang'ana na G tuuuu toka wapo kwenye ndoa mpaka wameachana haachi kumuimba, ila this time kwenye naamka tena nilitegemea aamke na furaha na vitu tofauti na vipya kabisa lakini cha ajabu kaamka tena na G tena kwa dharau za kupitiliza, khaaaa! Hata me naona G kakosea lakini amekuwa provoked to the point that he couldn't hold it any ways.
Sidhani kama Jide kajibu chochote, na sijui pia ni vipi Jide kamsema G. Kilichoamsha hisia za watu nafkiri ni lugha aliyotumia Gadna ndo imekuwa ya ukakasi
Watajuana wenyewe bana, kwan wakati wanatongozana me nlikuwepo!?Kampiga sana madongo insta, gadna kawa kimya muda.
Watajuana wenyewe bana, kwan wakati wanatongozana me nlikuwepo!?
Hamna namna sasa ya kutopiga kelele wakati mama ni star kumshinda jamaa. Hata Jide kusema hatujaachana ila nimemuacha.. ujue ni kumdharaulisha msela kimtindoHapo sasa! lets be fair hapa, muanza vijembe kapigwa nae kijembe kimoja cha maana, wanapiga kelele hadi ikulu
Gadner naye ni mwanaume?Kosa lipo kwa mwanaume na sio mwanamke..Wanawake kuwanyamba ma x wao hiyo ni kawaida. Mwanaume ukiachwa kaa kimya.