Kosa la Gardner na kosa la Jay Dee ni sawa!

Kiukweli Gadner amekurupuka sana kwenye hili,mtoa uzi ukitaka kuyapima maneno ya Jay Dee na Gadner unaona kabisa jamaa ameongea kashfa hivi kukojoza ndiyo kitu gani?hufanyika wapi hiyo kitu?
 
Wote wanazngua tu kupendana walipendana wao kumwagana wanaleta hasira zao wazi kwa jamii, hawana issue wakwende zao na stress zao za chumbani hazituhusu
 
Bado JD anampenda G. Na G bado anampenda JD si ajabu wakarudiana siku za usoni - cheza na hivi vikojoleo vikishafahamiana kwa muda mrefu
 
Sidhani kama Jide kajibu chochote, na sijui pia ni vipi Jide kamsema G. Kilichoamsha hisia za watu nafkiri ni lugha aliyotumia Gadna ndo imekuwa ya ukakasi

Kampiga sana madongo insta, gadna kawa kimya muda.
 
Jde n jde tu g umario ndo unamsumbua tu
 
Watajuana wenyewe bana, kwan wakati wanatongozana me nlikuwepo!?

Hapo sasa! lets be fair hapa, muanza vijembe kapigwa nae kijembe kimoja cha maana, wanapiga kelele hadi ikulu
 
Hapo sasa! lets be fair hapa, muanza vijembe kapigwa nae kijembe kimoja cha maana, wanapiga kelele hadi ikulu
Hamna namna sasa ya kutopiga kelele wakati mama ni star kumshinda jamaa. Hata Jide kusema hatujaachana ila nimemuacha.. ujue ni kumdharaulisha msela kimtindo
 
ndi ndi ndi ndi ni kutoka ndani mwako huku umebeba CD? Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…