Mi naona vitu vingine si rahisi kujugde mpaka uwe kwenye eneo la tukio.
Huyo baba anaweza kuwa na kosa au la.
Voice tone aliyoitumia kusema hayo maneno na jinsi alivyokua akimwangalia huyo binti wakati akiyasema hayo ndio inaweza ikakufanya mtu ujue mmmmh huyu tayari anamtamani housegirl au kamwambia tu.
Jamani sio dhambi baba kuongea na housegirl cha msingi ni wanaongea vipi tu,dada naye ni binadamu na anapokua nyumbani kwako ni kama tu sehemu ya familia hivyo sio kila baba akiongea au kucheka naye tu iwe tatizo.