Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona vitu vingine si rahisi kujugde mpaka uwe kwenye eneo la tukio.
Huyo baba anaweza kuwa na kosa au la.
Voice tone aliyoitumia kusema hayo maneno na jinsi alivyokua akimwangalia huyo binti wakati akiyasema hayo ndio inaweza ikakufanya mtu ujue mmmmh huyu tayari anamtamani housegirl au kamwambia tu.
Jamani sio dhambi baba kuongea na housegirl cha msingi ni wanaongea vipi tu,dada naye ni binadamu na anapokua nyumbani kwako ni kama tu sehemu ya familia hivyo sio kila baba akiongea au kucheka naye tu iwe tatizo.
Alidhani ndo wife, kama sijamzushia mleta mada so technically jamaa is Innocential kwa nini asimsifie mkewe?
Mwingine huyu dah!!Huyo mwanaume hana adabu kabisa!unene wa housegirl unamuhusu nini?tena si ajabu alikua anamwambia huku anajichekesha shenz type!acha anuniwe hadi akome..
..... yule jamaa akamwambia "siku hizi unanenepa" ........ JF huyu jamaa kakosea wapi?