1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole
2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.
3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.