fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
mambo yanazidi kunoga uku
Wapiga kura tutapiga kura za kisukuma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mambo yanazidi kunoga uku
Wapiga kura tutapiga kura za kisukuma!
Mwaka huu mtasema kila neno lakini mtambue kwamba tumeamua Lissu in lazima atinge ikulu.1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole
2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.
3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
Wewe jitie ujuaji tu.Ile habari ya natangaza Kama nilivyoyapokea mwisho ilikuwa 20151. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole
2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.
3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
Mkuu kitendo tu Cha kutuondolea huu upuuzi unaitwa ccm or chama tawala or chama dola kwenye nchi yetu is very big achievement hata wasipofanya kitu kingine, Kama wewe siyo mama wa nyumbani, ni nchi gani ulienda ukakutana na huu upuuzi unaitwa chama dola?Kushabikia upinzani huu ni sawa na kuonekana ni mvuta bangi tu,na ni kweli kabisa chadema na wafuasi wake ni wavuta bangi,jinsi wanavyoongea na wafuasi wanavyoshabikia bila kukumbuka waliwahi kusema nini huko nyuma,hili ni kundi la wahuni kama mahuni mengine tu yanayo kula unga,hayasemi yatatufanyia nini wananchi kazi ni jaziba tu juu ya Rais na matusi kuonyesha wazi wana mawivu makubwa ya kushika mamlaka ili yakachume pesa na si kushughulika na masuala ya wananchi,mavuta bangi wahaini wa nchi haya
Ah wapi!Watz wa leo sio wa jana mwaka huu akili zimefunguka hakuna cha mwenge kupumbaza watz
Kama nakuelewa Kwa mbaali!! Ila huyu kazidi mno aisee kukebehi hata vitu vyetu ambavyo tunaviheshemu ingawa havikuwahi kutungiwa Sheria namna gani ya kuviheshimuKauli zinazotolewa na lissu hazina tofauti na zinazotolewa na jpm jukwaani.Ndo maana nimesema anayemmudu jpm ni lissu pekee
Umeandika kwa chuki Sana!1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole
2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.
3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
Tambiko la kitaifa la mwenge wa uhuru limebuma baada ya kukiukwa kwa masharti ya kushirikina, sasa badala ya mwenge kuangaza nje ya mipaka ya nchi yetu, sasa inaangaza ndani ya akili za Watanzania, na ndani ya mipaka ya nchi yetu.1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole
2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.
3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
Kauli zinazotolewa na lissu hazina tofauti na zinazotolewa na jpm jukwaani.Ndo maana nimesema anayemmudu jpm ni lissu pekee
mkuu mbona ni hoja zenye mashiko tahadhali ni muhim katoa taa nyekundu maana yake kama hakuna zengwe na ameshidwa kwa hulali hana shida,japo pale mkiingiza mambo yasiotatarajwa ana kiwasha na hapa nikazie mh lisssu atakiwasha kweli , niliwahi sema hum huyu sio wa kawaida kama mnavyo fikilia na ukiangalia nyakati hizi za 2020 vijana ni wengi kuliko wazee ila yupo mtu mmoja tu wa kutunususulu naye mh maghu basi namanisha ikitokea kashindwa ni ku give up bado taifa haijalishi chama gani kipo madarakani kuhakikisha kinawatunza kama wazee bila kujali ni ma zuri yapi au mabya yapi wamefanya wakiwa madarakani basi taifa hili letu sote ,hawa ni tunu ya watanzania1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole
2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.
3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakufa huku Mimi jmn😆😆Mkuu kitendo tu Cha kutoondolea huu upuuzi unaitwa ccm or chama tawala or chama dola inatosha kabisa hata wasipofanya kitu kingine, Kama wewe siyo mama wa nyumbani ni nchi gani ulienda ukakutana na upuuzi unaitwa chama dola?
Safi sanaMimi ni mshabiki was lissu mpaka naumwa, mpaka sasa nimeshapata wafuasi was lissu 500+
Naomba nicheki ...sikupati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakufa huku Mimi jmn[emoji38][emoji38]
Utakuwa unafaidika moja kwa moja na uwepo wa ccm, jaribu kuacha ubinafsi angalia maslahi mapana ya nchi, ni wakati wa kuachana na chama chakavu.1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole
2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.
3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
Ccm inapenda sana watu wa karba yako nitashangaa Kama wewe siyo police,maana hao ndo wanaoongoza kujazwa ujinga na CCM then wao wanatekeleza kwa kisingizio Cha kiapoKama nakuelewa Kwa mbaali!! Ila huyu kazidi mno aisee kukebehi hata vitu vyetu ambavyo tunaviheshemu ingawa havikuwahi kutungiwa Sheria namna gani ya kuviheshimu
Yaani, Watanzania wote wa enzi na enzi hata Leo tukiwa tunautumia wimbo wetu nje na ndani ya nchi yetu kufanyiwa dhihaka kiasi hiki ni kuwadharau Watanzania wote waliowahi na wanaendelea kuheshimu wimbo wetu