Uchaguzi 2020 Kosa la kimkakati walilofanya CHADEMA

1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole

2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.

3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
Pumba tupu lumumba fc

Lissu kawakamata. Amewalia timing.

Tatizo Rais wenu anatabilika. Ndio maan Lissu anajua kile anachotarajia kufanya na kutoa onyo mapema.
 
1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole

2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.

3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
MWAKA WATU WAMESHITUKA
 
Utakuwa unafaidika moja kwa moja na uwepo wa ccm, jaribu kuacha ubinafsi angalia maslahi mapana ya nchi, ni wakati wa kuachana na chama chakavu.
Huyu lazima atakuwa ni Msukuma Kasheku tu. Maana hakuna mwenye akili ya chini kiasi hiki .
 
1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole

2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.

3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
Usikute alieandika huu ujinga ni msomi wa chuo kikuu anae tafuta uteuzi au usikute ni usalama wa Taifa
 
hakuna chama kinachoweza kukaa mbali na hao unaowaita mabeberu!!!trust me hata CCM inadhaminiwa na mabeberu,umewahi kujiuliza kwanini deni LA taifa limekuwa maradufu katika awamu hii?na je tunakopeshwa na watu gani?
 
Lissu ni zawadi kutoka kwa mungu kuja kwa watanzania ili awakomboe
Wameanza kuweweseka. Hata polisi walikuwa wamekosa mtu kama Lissu. Mwaka huu watakuwa upande wetu. Sheria na maonyo ya Lissu yanatoa mwanga kwa vyombo vya dola kutenda haki.
 
Kushabikia upinzani huu ni sawa na kuonekana ni mvuta bangi tu,na ni kweli kabisa chadema na wafuasi wake ni wavuta bangi,jinsi wanavyoongea na wafuasi wanavyoshabikia bila kukumbuka waliwahi kusema nini huko nyuma,hili ni kundi la wahuni kama mahuni mengine tu yanayo kula unga,hayasemi yatatufanyia nini wananchi kazi ni jaziba tu juu ya Rais na matusi kuonyesha wazi wana mawivu makubwa ya kushika mamlaka ili yakachume pesa na si kushughulika na masuala ya wananchi,mavuta bangi wahaini wa nchi haya
Hadi baba yako anavuta
 
Back
Top Bottom