johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Rubbish, je aliyekimbia siku 45! Jemedari Mkuu, Mkuu wa vita, Kiongozi Mkuu akakimbia na kujificha. Kumbe akili yako inaenda kufa kibudu! CDM walikuwa wanatekeleza maagizo ya WHO! Ilibidi jemedari akae kama kufa afe, ndio uongozi wa kuwa Mkuu wa majeshi!Chama kinachoonyesha uwoga abadani hakiwezi kupewa dola kwani kitakimbia mapambano.
Chadema ni dhaifu, waoga na hawajiamini!Rubbish, je aliyekimbia siku 45! Jemedari Mkuu, Mkuu wa vita, Kiongozi Mkuu akakimbia na kujificha. Kumbe akili yako inaenda kufa kibudu! CDM walikuwa wanatekeleza maagizo ya WHO! Ilibidi jemedari akae kama kufa afe, ndio uongozi wa kuwa Mkuu wa majeshi!
Kwani kazi zilisimama?Je la Magufuli kukaa chato miezi 2 vipi?
Ahsante kwa kuja bwashee!Kazi kushinda JF kuandika mapumba pumba tu unajikuta unazo sana kumbe mashkolo tu.
.
nimelitunza bovu la kisukuma next time nalibanjuka
Mbowe huyu huyu aliyegaragazwa na Kikwete 2005?!!Dah, umeitazama hutuba ya Mbowe akitangaza nia lakini??
afadhali umejibu inavyotakiwa. Ya Jemedali umepiga chenga kama jana mlivyozima mjadala wa Star tv na pambalu, mkazima TAA! Jemedari kaa ufe kama Nkurunzinza! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Chadema ni dhaifu, waoga na hawajiamini!
Hiyo ni Saccos siyo Chama cha Siasa.Dawa ya changamoto ni kuikabili na siyo kuikimbia.
Kwa namna Corona ilivyotoweshwa na maisha kurejea katika hali ya kawaida wananchi wameamini kuwa kweli CCM ni chama dume.
Chadema wameonekana kama chama ambacho wakati wa vita kinawaacha wananchi wajipambanie wenyewe na wao kama chama wanajificha.
Chama kinachoonyesha uwoga abadani hakiwezi kupewa dola kwani kitakimbia mapambano.
Kosa la kuikimbia Corona limeiweka Chadema kwenye kona mbaya sana hasa wakati wa uchaguzi mkuu.
Maendeleo hayana vyama!
Wabunge wa CCM wanapiga makofi hata kitendo cha Rais kunywa maji.Dawa ya changamoto ni kuikabili na siyo kuikimbia.
Kwa namna Corona ilivyotoweshwa na maisha kurejea katika hali ya kawaida wananchi wameamini kuwa kweli CCM ni chama dume.
Chadema wameonekana kama chama ambacho wakati wa vita kinawaacha wananchi wajipambanie wenyewe na wao kama chama wanajificha.
Chama kinachoonyesha uwoga abadani hakiwezi kupewa dola kwani kitakimbia mapambano.
Kosa la kuikimbia Corona limeiweka Chadema kwenye kona mbaya sana hasa wakati wa uchaguzi mkuu.
Maendeleo hayana vyama!
Yeye huyo mjomba wa chako ni chakoMbowe huyu huyu aliyegaragazwa na Kikwete 2005?!!
Hata Katambi alikuwa kama Pambalu......hakuna mkate mgumu mbele ya chai!afadhali umejibu inavyotakiwa. Ya Jemedali umepiga chenga kama jana mlivyozima mjadala wa Star tv na pambalu, mkazima TAA! Jemedari kaa ufe kama Nkurunzinza! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Rubbish too! Wanasaccos pumba tupu!Rubbish, je aliyekimbia siku 45! Jemedari Mkuu, Mkuu wa vita, Kiongozi Mkuu akakimbia na kujificha. Kumbe akili yako inaenda kufa kibudu! CDM walikuwa wanatekeleza maagizo ya WHO! Ilibidi jemedari akae kama kufa afe, ndio uongozi wa kuwa Mkuu wa majeshi!
Wabunge wa Chadema walipoambiwa Tshirts zimetumwa tangu jana wakaanza kurukaruka kwa furaha.Wabunge wa CCM wanapiga makofi hata kitendo cha Rais kunywa maji.
Huu wimbo wa kusema CHADEMA imekufa, CHADEMA imezikwa, CHADEMA imepotea, CHADEMA imefutika, haujaanza leoKosa la kiufundi la kujiweka katika karantini limeimaliza CHADEMA machoni pa wananchi
WHO wanatoa miongozo sio maagizo mkuu.Rubbish, je aliyekimbia siku 45! Jemedari Mkuu, Mkuu wa vita, Kiongozi Mkuu akakimbia na kujificha. Kumbe akili yako inaenda kufa kibudu! CDM walikuwa wanatekeleza maagizo ya WHO! Ilibidi jemedari akae kama kufa afe, ndio uongozi wa kuwa Mkuu wa majeshi!
Bwashee endelea kukariri!Huu wimbo wa kusema CHADEMA imekufa, CHADEMA imezikwa, CHADEMA imepotea, CHADEMA imefutika, haujaanza leo