M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,039
kwa kipimo kipi?Dawa ya changamoto ni kuikabili na siyo kuikimbia.
Kwa namna Corona ilivyotoweshwa na maisha kurejea katika hali ya kawaida wananchi wameamini kuwa kweli CCM ni chama dume.
Chadema wameonekana kama chama ambacho wakati wa vita kinawaacha wananchi wajipambanie wenyewe na wao kama chama wanajificha.
Chama kinachoonyesha uwoga abadani hakiwezi kupewa dola kwani kitakimbia mapambano.
Kosa la kuikimbia Corona limeiweka Chadema kwenye kona mbaya sana hasa wakati wa uchaguzi mkuu.
Maendeleo hayana vyama!