kwa kipimo kipi?Dawa ya changamoto ni kuikabili na siyo kuikimbia.
Kwa namna Corona ilivyotoweshwa na maisha kurejea katika hali ya kawaida wananchi wameamini kuwa kweli CCM ni chama dume.
Chadema wameonekana kama chama ambacho wakati wa vita kinawaacha wananchi wajipambanie wenyewe na wao kama chama wanajificha.
Chama kinachoonyesha uwoga abadani hakiwezi kupewa dola kwani kitakimbia mapambano.
Kosa la kuikimbia Corona limeiweka Chadema kwenye kona mbaya sana hasa wakati wa uchaguzi mkuu.
Maendeleo hayana vyama!
Ahsante kwa kumuelimisha bwashee mstaafu!WHO wanatoa miongozo sio maagizo mkuu.
Chadema ni wakoraDawa ya changamoto ni kuikabili na siyo kuikimbia.
Kwa namna Corona ilivyotoweshwa na maisha kurejea katika hali ya kawaida wananchi wameamini kuwa kweli CCM ni chama dume.
Chadema wameonekana kama chama ambacho wakati wa vita kinawaacha wananchi wajipambanie wenyewe na wao kama chama wanajificha.
Chama kinachoonyesha uwoga abadani hakiwezi kupewa dola kwani kitakimbia mapambano.
Kosa la kuikimbia Corona limeiweka Chadema kwenye kona mbaya sana hasa wakati wa uchaguzi mkuu.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa......!Chadema ni wakora
sawaWHO wanatoa miongozo sio maagizo mkuu.
Hata Katambi alikuwa kama Pambalu......hakuna mkate mgumu mbele ya chai!
Wewe unamwamini Kigogo usiyemjua?Ipo migumu kama Mdee, Lema etc. By the way umesoma twitter kuwa boss wa TISS ametuma watu wakachome nyumba ya Lema wakiongozwa na DC Sabaya? Wakishindwa eti waweke madawa ya kulevya! by Kigo
Mbona natawaliwa na Jiwe kwani namjua? 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe unamwamini Kigogo usiyemjua?
Rubbish, je aliyekimbia siku 45! Jemedari Mkuu, Mkuu wa vita, Kiongozi Mkuu akakimbia na kujificha. Kumbe akili yako inaenda kufa kibudu! CDM walikuwa wanatekeleza maagizo ya WHO! Ilibidi jemedari akae kama kufa afe, ndio uongozi wa kuwa Mkuu wa majeshi!
Kwa hiyo amekuwa MWALIMU WENU mnakili?
Tunawasubiri muwaambiea Wapiga Kura hayo muone kama mtapata hata kura sifuri!Rubbish, je aliyekimbia siku 45! Jemedari Mkuu, Mkuu wa vita, Kiongozi Mkuu akakimbia na kujificha. Kumbe akili yako inaenda kufa kibudu! CDM walikuwa wanatekeleza maagizo ya WHO! Ilibidi jemedari akae kama kufa afe, ndio uongozi wa kuwa Mkuu wa majeshi!
Tunawasubiri muwaambiea Wapiga Kura hayo muone kama mtapata hata kura sifuri!