Kosa la kutukana na kutoa matusi

Kosa la kutukana na kutoa matusi

Mnashauku kuona walimu wanavaa sare?Hill linawezekana ni utaratibu tu mbona taasisi km vile jeshi,POLISI,magereza na wengineo wanavaa ila siombei iwe hivyo....
 
uraiani hilo ni kosa la jinai, kutukana ni kinyume cha sheria ya kanuni ya adhabu, sura ya 15 kifungu chs 89 (1). Adhabu yake ni kifungo cha miezi sita jela
Ni ushahidi gani utakaotakiwa niuwasilishe kuonesha nimetukanwa?
Dragoon.
 
Naomba urekebishe chapisho lako, siyo sura ya 15 bali Sura ya 16(Cap 16 R:E 2002)
 
Back
Top Bottom