Kama shemeji yako atakufa,ndugu yako atashitakiwa kwa kuua bila ya kukusudia.Lakini ni lazima upepelezi uthibitishe pasi na shaka yoyote.Kwa nini ndugu yako arushe sahani ukutani kuna nini ukutani?tukisema kwamba alimlenga kwa makusudi kwenye ugomvi wao?DPP lazima ajiridhishe kweli kuwa huyo shemeji yako kauwawa bila ya kukusudia vinginevvyo kaka yako aweza kushitakiwa kwa kuua.First degree murder.Mkuu mimi ninandugu yangu karusha sahani ukutani, kipande cha sahani (ya udongo) kikamkata mkewe usoni na kavuja damu nyingi sana. Sasa hivi bado jamaa anasota ndani bila zamana.
Swali: 1. Je jamaa anawezakufungwa?
2. Kwa bahati mbaya mkewe IKITOKEA kafa, jamaa hukumu yake itakuwaje?
cc lukesam Petro E. Mselewa Wambandwa kabombe Bukyanagandi
Kuua bila ya kukusudia mtu anaweza kula x-mas mpaka kumi akiwa jela,au akafungwa kifungo cha nje au nusu kwa nusu