Kosa la kuua bila kukusudia nalo ni kosa?

Kama shemeji yako atakufa,ndugu yako atashitakiwa kwa kuua bila ya kukusudia.Lakini ni lazima upepelezi uthibitishe pasi na shaka yoyote.Kwa nini ndugu yako arushe sahani ukutani kuna nini ukutani?tukisema kwamba alimlenga kwa makusudi kwenye ugomvi wao?DPP lazima ajiridhishe kweli kuwa huyo shemeji yako kauwawa bila ya kukusudia vinginevvyo kaka yako aweza kushitakiwa kwa kuua.First degree murder.
Kuua bila ya kukusudia mtu anaweza kula x-mas mpaka kumi akiwa jela,au akafungwa kifungo cha nje au nusu kwa nusu
 
Duh! Thanks mkuu, nimekuelewa sana. Ngoja tupambabane tumtoe jamaa mahabusu na tumhudumie shem kwa gharama yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…