Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Kosa la mwaka 1960-1975 linajirudia mwaka 2015

Kwanza pole kwa kutojua historia. Staki nijikite zaidi kuelezea madhumun na madhara ya ukolon kwa nchi za Afrika, lakin napenda nikukumbushe tu kwamba wakolon waliingia Afrika kwa lengo kubwa la kuchukua raslimal zetu.(soma kitabu "HOW EUROPE UNDERDEVELOPED AFRICA" kilchoandikwa na Water Rodney). Unachokiamin wewe ni mtazamo wa kimagharibi(Eurocentric view, which claim that colonialism was there as the civilisation mission) ambao ni mahususi kwa kuhalalisha ukoloni na kufunika maovu walokuwa wakitendewa babu zetu. Kuhusu swala la katba unamaanisha kwamba kwa kuwa JK hakuwah kuwa na wazo hilo watz hatukutakiwa kuanzisha mchakato wa kupata katiba yenye kuwakomboa hasa wanyonge? Umeniskitsha sana ndugu.

umekosea mkuu. Sio ''water rodney'' ni 'walter Rodney' , kuwa makini wakati mwngne, kumbuka huyo ni mtu umemquote.
 
Back
Top Bottom