Kosa la Rapcha kwenye his latest song ilikuwa ni kumtaja Dizasta Vina aka The Black Maradona

Ogopa mtu anayeweza kuandika mashairi dakika 8 kutoka kwenye mstari mmoja. Huyu haji kuishiwa, writer's block atakuwa anaisikia tu kwa wengine.
Kaonyesha uwezo mdogo sana, line moja inaweza eleza story ya dakika 50 kama ukiwa fundi wa uhandishi.
Abakie kwenye mihadithi yake yenye part 1 mpk 5 kama shigongo hawezi ufundi wa uhandishi kapotezwa vibaya sana.
 
Fact.
 
Rapcha akiamua kumjibu kwa verse moja jamaa itambidi ahangaike amtungie album yenye nyimbo mia, yaani mstari mmoja kahangaika kuujibu kwa eight minutes plus diss-track.
Uyu mwamba kwa rapcha bado sana ye aendelee na mashairi yake ya part one, part two part three..............

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…