McCollum
JF-Expert Member
- Jan 10, 2023
- 384
- 684
Nafaka inaonekana Dizasta alikuwa na haraka, beat ilikuwa vizuri ila inaonekana yeye ndie aliyekuwa anataka kazi iishe haraka.
Kwa beat zote alizoimbia hii ilikuwa na utofauti mno, hii beat imejaa kidogo tofauti na beat ambazo huwa anazitumia ambazo zinakuwa na chords za mbali na snare za kupiga kwa wakati mmoja (zinaachaina nafasi kubwa kati ya 4 bars zinaweza kupigwa nne au mbili).
Kwa utaalamu wa kutengeneza beat hii beat ilijaa kiasi chake ila yeye ndie aliyeshindwa kui"master".
Ready to accept corrections