Hivi umeangalia impact ya hii ngoma Kwa upande wa streams, trending kule YouTube, kujitangaza Kwa ujumla, mtonyo ataoingiza??binafsi kwa heshima yangu kwa dizasta naona akupasa kumjibu rapcha...
ukizingatia after ile diss track ya rapcha akuonesha kama kachukizwa
sema ni kawaida katika hip hop kumalizana kwa ngoma!
Ilikuwa necessary kimaslihai zaidAcheni kumpaisha huyo dogo... hagusi level za dizasta kabisa [emoji23]...ingawa naona haikuwa necessary Kwa dizasta kureply
Kasiklze tenaAliyemix wimbo naona kazingua vocal na beat nasikia kama vile havijavaana.
Sanaa, mara ya mwisho nimeingia YouTube hii ngoma ilikuwa 13 on trendingHivi hizi diss track zina soko kweli?
Kama Kuna ngoma za dizasta sizifaham hazizid 5Nafaka inaonekana Dizasta alikuwa na haraka, beat ilikuwa vizuri ila inaonekana yeye ndie aliyekuwa anataka kazi iishe haraka.
Kwa beat zote alizoimbia hii ilikuwa na utofauti mno, hii beat imejaa kidogo tofauti na beat ambazo huwa anazitumia ambazo zinakuwa na chords za mbali na snare za kupiga kwa wakati mmoja (zinaachaina nafasi kubwa kati ya 4 bars zinaweza kupigwa nne au mbili).
Kwa utaalamu wa kutengeneza beat hii beat ilijaa kiasi chake ila yeye ndie aliyeshindwa kui"master".
Ready to accept corrections
Iko hivi mkuu...Hivi umeangalia impact ya hii ngoma Kwa upande wa streams, trending kule YouTube, kujitangaza Kwa ujumla, mtonyo ataoingiza??
Bro life is not all about stupid legacy, you have a stomach to feed, ni akili kuangalia upepo unakoelekea
Unakumbuka diss ya eminem kwa machine gun kelly,,?Rapcha kaandika mstari mmoja kajibiwa nyimbo nzima tena ya dakika 10 [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sio diss,,Rapcha akiamua kumjibu kwa verse moja jamaa itambidi ahangaike amtungie album yenye nyimbo mia, yaani mstari mmoja kahangaika kuujibu kwa eight minutes plus diss-track.
Hauna akili wewe pamoja na mama yako mzazi na baba yako mzazi, stupid b*tch-azz zombie.Hauna akili rapcha una mlinganisha na dizasta
Ile sio diss,ile ni shule ambayo hata wewe ungestahili kuipata.hope umejifunza vingiRapcha akiamua kumjibu kwa verse moja jamaa itambidi ahangaike amtungie album yenye nyimbo mia, yaani mstari mmoja kahangaika kuujibu kwa eight minutes plus diss-track.
Kujibu kwa ngoma ni moja ya misingi ya hip hop hasa kwa rapa wanaoendana kiuwezoAcheni kumpaisha huyo dogo... hagusi level za dizasta kabisa [emoji23]...ingawa naona haikuwa necessary Kwa dizasta kureply
Shoga ni baba yako mzazi. You're more than just an idiot, you're a fool.Mashoga wa sinza bhana
When an idiot acknowledge ignorance of another idiot it make two perfect idiots
Nakubaliana na wewe mzeeKama Kuna ngoma za dizasta sizifaham hazizid 5
Hii bint ndio Kali kuliko zote na jamaaa kapita mule mule, hii ngoma ni perfect
He is just on denial but it's through and through a diss-track, those blah blahs za free school and other bullcraps kila mtu anaweza kutamba kwa njia hizo za kitoto.Hiyo sio diss,,
Amemuelimisha,, that's why alisema
"shukuru your brother nipo so school is free"
Za kitoto? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sishangai sababu uko light headed,,, kaisikilize confession of a mad philosopher ndo uje ubishane na mm,, hizo mumble raps zenu hata my dog anafanyaHe is just on denial but it's through and through a diss-track, those blah blahs za free school and other bullcraps kila mtu anaweza kutamba kwa njia hizo za kitoto.
Narudia tena bitch-azz, mgawa matako ni baba yako mzazi.Kingereza cha wagawa matako wa sinza ichi