Kosa lako ni kutokuwa Chawa Joti

Kosa lako ni kutokuwa Chawa Joti

Maskinj Joti kahamaki.....kweli kuomba kupokezana enzi zake nae alishakula sana
 
Kwahio ulieleta uzi unadhani hapo ni ukweli??? wamepanga iwe hivyo kusherehesha ukumbi.Joti hawezi kuachwa kwenye huo mgao wa milioni 10.
 
🤣🤣 natamani kujua huko mbeleni joti aliongea nn..? nmecheka kinoma
NILIKUWEPO ENEO LA TUKIO MBASHARA KBSA JOTI ALISEMA NA YEYE ANATAKA HIZO 10 M BASI WAKAZOZANA PALE IKABIDI BOSS APIGIWE CM AKASEMA NA JOTI ATAMPA 10M ZAKE
ILA HIZI FEDHA SIO ZAO HII NI KAMA MCHANGO WA TAJIRI GSM KWA TIMU ZA TAIFA SASA YY AKACHAGUA PPANDE WA GHARAMA ZA KUWASAFIRISHA MAJAMAA KWENDA I.COAST LKN PIA ALIONGEZA 10 NYNGNE KAMA MCHANGO HALISI

HUYU JAMAA ANAYESEMA MWIJAKU NA BABALEVO WAMEPEWA HELA SIO KWELI
 
Back
Top Bottom