Naipongeza serikali kwa ujenzi wa BRT Phase ya Mbagala kwenda Kariakoo. Shida inakuja pale inapojengwa barabara bila vituo vya daladala wakati wakijua fika kuwa lazima daladala ziwepo.
Angalia shida iliyopo BRT ya kuanzia kimara mpaka inapoishia, barabara haina vituo vya daladala na wakati daladala zina rout kuanzia kimara. Hii inapelekea foleni sana popote penye kituo cha mwendokasi kwa maana daladala na zenyeww huweka vituo hapo hapo kuchua abiria.
Mfano mzuri ni pale Korogwe, Baruti na Kibo. Mistake ile ile inatengenezwa na BRT ya mbagala, hakuna vituo vya daladala kabisa. Hii ina maana ukiwa unafika kituoni, barabara moja inakufa kwa ajili ya kuifanya kuwa kituo cha daladala na foleni itakuwa kama maeneo niliyoyataja.
Swali ni kwamba, je na hilo linahitaji shule kuliona?