Kosa ni kupasha kiporo...

Mkuu ngoma si unapata kwa Dakika tuu,Ni kama mimba,danger zone imooo,
Labda jamaa awe na kibamia halafu Mdada awe na Bwawa halafu awe amelowa chini sanaaa!
 
Ndio sisi wenye group O eti???mmmh
Hapana, kirusi kinavyo ingia mwilini inabidi kifanye attachments kwenye Receptors ziitwazo C-C Chemokine receptors such as (CCR5 and CXR4).Baada ya kuji attach katika hizo Receptors then ndo kitaanza kufanya Multiplication.

Hivyo basi, kuna baadhi ya Watu They lack those Receptors Naturally.

So, hata akipata virusi vya HIV vinashindwa kuwa na sehemu ya kujishikiza.. Na kufanya multiplication.

Therefore they tend to fade away themselves baada ya Muda.

Nimejaribu kuelezea simply zaidi kwa kiswahili ili ieleweke, ila kwa lugha ya kitaalamu ingekuwia vigumu kuelewa.

Cc Sky Eclat ongezea chochote.

Natumai umenielewa Evelyn Salt

Ukitaka unaweza kwenda kupimwa, ili ujue if unazo hizo receptors ama hauna
 
Umeeleza yote mkuu na ni baada ya masaa 72 ndiyo full attachment hutokea, kabla ya hapo ukipata first aid unaweza kusave kula njugu for the rest of your life.
 
Yeah nmeelewa ahsante
 
Huu uzi utafanya watu wakapime serious.
Asante kwa ujumbe, watu muache michepuko
 
Hujawahi kuona mtu kachukia lakini anasema "am okay" na ukimwangalia yupo okay kweli.
Anyway huyo mwanamke ni roho mbaya tu na possible hiyo miaka yote hakupata mtu hata wa kumwambia kwa utani amuoe, akaona arudishe hasira kwa jamaa.
Aliumia kiasi kwamba alishindwa kuhandle hasira yake ikazaa chuki na kisasi na uuaji.
Too bad kamuumiza jamaa na sio mke. Ila hii itamtesa maisha yake yote kwa alichokifanya kuambukiza wenzie
 
Aliumia kiasi kwamba alishindwa kuhandle hasira yake ikazaa chuki na kisasi na uuaji.
Too bad kamuumiza jamaa na sio mke. Ila hii itamtesa maisha yake yote kwa alichokifanya kuambukiza wenzie
Kama muda wote huo kapanga kisasi sidhani anajali alichofanya
 
Kama muda wote huo kapanga kisasi sidhani anajali alichofanya
Mbaya sana kuumizwa, kuumizwa bila kupatw msaada inapelekea binadamu kuwa mbaya kuliko mnyama.
Nimesoma huu uzi nimeogopa nimehis ndio mm nimeletewa huo Ukimwi.
Asante kwa ujumbe

Halafu kuna mwehu mmoja kaoa bado ana hii tabia nataman nimtumie huu ujumbe
 
Haya yapo sana tu, Mungu atuepushe tu kama alivomuepusha mke wa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…