Hapana, kirusi kinavyo ingia mwilini inabidi kifanye attachments kwenye Receptors ziitwazo C-C Chemokine receptors such as (CCR5 and CXR4).Baada ya kuji attach katika hizo Receptors then ndo kitaanza kufanya Multiplication.
Hivyo basi, kuna baadhi ya Watu They lack those Receptors Naturally.
So, hata akipata virusi vya HIV vinashindwa kuwa na sehemu ya kujishikiza.. Na kufanya multiplication.
Therefore they tend to fade away themselves baada ya Muda.
Nimejaribu kuelezea simply zaidi kwa kiswahili ili ieleweke, ila kwa lugha ya kitaalamu ingekuwia vigumu kuelewa.
Cc
Sky Eclat ongezea chochote.
Natumai umenielewa
Evelyn Salt
Ukitaka unaweza kwenda kupimwa, ili ujue if unazo hizo receptors ama hauna