Kosa ni kupasha kiporo...

Haya yapo sana tu, Mungu atuepushe tu kama alivomuepusha mke wa jamaa
Lakin unajua bado inauma mume kuwa na ugonjwa, hata ktk tendo hu enjoy sis unawaza tu ukimwi kuwa na ww utapata

Mungu ampe wepesi mwanamke mwenzetu
 

Wanatoka wilaya A..nakwenda wilaya B ..kuchukua Dawa !![emoji23]
 
Cc: Behaviourist QUOTE="Saint Ivuga, post: 28719761, member: 11702"]Siwezi kumtafunna aisee.

Nna k ya bure bure ya Inna ipp kwa ajili yangu all the time mtoto wa kiarusha mtoto tolu mtoto wa kutoka babati mlima kwaraa[/QUOTE]
 
Ukimwi upo aisee, nakumbuka mke wangu niliyenaye. Kipnd tupo kweny mahusiano nilikuwa bingwa wa kucheat. Wakt yy ni mwaminifu siku moja niliopoa demu mlokole, nkamtongoza akazama, nkachukua vipimo vya VVU na condomu. Kufka getho nkasema nigonge bila kondomu bao mbili half nimpime ili niendelee nyama nyama. Nkaanza game ila kondomu kila nilivyobadilisha ilikuwa INA damu. Nkamaliza nkasema nimpime, ile kuweka damu tu ngoma ikasoma POSITIVE. tangu siku ile nkaokoka, now SITAKI usaliti. MUNGU aliniepusha na UKIMWI
 
Hongera
 
Si akabaki na kanga moja mswambwanda nje kudhihirisha kuwa dunia duara!!! Ama kweli shetani ana nguvu kushinda hata break down
 
Huyo mwanamke alikubalije kupimwa wakati akijijua afya yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…