Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,624
- 3,143
Lakin unajua bado inauma mume kuwa na ugonjwa, hata ktk tendo hu enjoy sis unawaza tu ukimwi kuwa na ww utapataHaya yapo sana tu, Mungu atuepushe tu kama alivomuepusha mke wa jamaa
Mungu ampe wepesi mwanamke mwenzetu