Ndio maana huwa siwashauri vijana kulala na mwanamke mloachana miezi kibaoooooo, hujui kafanya mangapi ,kagongwa nanan na wanapi ...naww kisa ubooo umedinda unakimbilia hahahah.
Mademu wa ivo dawa yao ni Moja kupima !!kisha pasha kiporo.
Au Achana naye Jumla tu ,kwan nn?? .
Eti ndo km ivi, mnakutana JF alafu from nowhere, demu anataka mkulane,, ukimwambia Tutapima kwanza ....Anakupiga chenga.
Ukimwambia nitavaa kondom...anakujibu.Kondomu zinamchubua eti asikii Raha[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53].
Umuue nani ????[emoji53][emoji53] kwa dunia hii ya watu wenye stress na roho Mbaya??