Kosa walilofanya Flora na Emanuel Mbasha

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380


KOSA KUBWA ALILOFANYA EMMANUEL MBASHA KWA FLORA.

1. Gwajima hakuwa na mahusiano na mkewe.
2. Alimsapoti na kumuamini kupita kiasi na kumuachia maamuzi ya familia.
3. Marafiki zake aliwapa nafasi kubwa sana kwa mkewe.

KOSA KUBWA ALILOFANYA FLORA KWA EMANUEL MBASHA.

1. Alidanganya hata kwenye ukweli.
2. Alikimbilia kuolewa kabla ya suluhu na kufunga ndoa ingine kanisani.
3. Aliwahi sana kudai talaka.
4. Aliharibu kumbambika kesi mmewe kisa wana mgogoro.
5. Marafiki aliwapa nafasi kubwa ya kumshauri kuliko kusikiliza nafsi yake.
6. Amemuwekea vikwazo mmewe ili ndoa yake mpya isivunjike.

CHANGAMOTO.

1. Emmanuel Mbasha sasa anaishi maisha magumu sana kwa ukata wa pesa.
2. Flora ndoa yake mpya haitadumu kabisa.
 
Hakuna uamuzi mbaya na usio wa busara kama kuamua kuvunja ndoa kwa mambo ya kuhisi na haswa anayeamua hivyo akawa mwanamke. Gharama ya kusuluhisha ilikuwa ndogo kuliko gharama ya kuishi mkiwa mmevunja ndoa.

Mbasha asitegemee kuwa kitoa albam itanunuliwa kama zamani ni vema akapate uzoefu kwa Beatrice Mhone.

Alikuwa na heshima alipokuwa na Imma kuliko huko alikokwenda kukadanganya katoto ka watu na kukaita mume. Yetu macho na time will tell
 
Hata wanaume wanavumilia mengi.
 
mbona mbasha namuona na prado lake huku mbezi beach? it seems anaishi humu maana nilikutana nae gengeni ananunua madikodiko ya kupika.sasa ana ukata gani wakati ana prado
Wanawake mtaendelea kutapeliwa daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…