Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Ipomiaka 3 imepita.vipi ndoa mpya ya flora mbasha ipo? unaweza ukaona utabiri kisandu umetimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipomiaka 3 imepita.vipi ndoa mpya ya flora mbasha ipo? unaweza ukaona utabiri kisandu umetimia
Prof. Mauq (PhD)Mchambuzi wa masuala ya ndoa.
amwachaye mume au mke wake akaenda kuolewa au kuoa huyo ana zini hivyo flora ni mzinifu huko alipo anajidanganyaView attachment 617475
KOSA KUBWA ALILOFANYA EMMANUEL MBASHA KWA FLORA.
1. Gwajima hakuwa na mahusiano na mkewe.
2. Alimsapoti na kumuamini kupita kiasi na kumuachia maamuzi ya familia.
3. Marafiki zake aliwapa nafasi kubwa sana kwa mkewe.
KOSA KUBWA ALILOFANYA FLORA KWA EMANUEL MBASHA. zini hivyo flora anajidanganya hajaolewa kibiblia bali ni mziniffu
1. Alidanganya hata kwenye ukweli.
2. Alikimbilia kuolewa kabla ya suluhu na kufunga ndoa ingine kanisani.
3. Aliwahi sana kudai talaka.
4. Aliharibu kumbambika kesi mmewe kisa wana mgogoro.
5. Marafiki aliwapa nafasi kubwa ya kumshauri kuliko kusikiliza nafsi yake.
6. Amemuwekea vikwazo mmewe ili ndoa yake mpya isivunjike.
CHANGAMOTO.
1. Emmanuel Mbasha sasa anaishi maisha magumu sana kwa ukata wa pesa.
2. Flora ndoa yake mpya haitadumu kabisa.