Kosa Wanalolifanya Polisi wa Msumbiji ni Kusubiria Kuzuia Maandamano Badala ya Kusaka Wanaopanga Maandamano, Wanaweza Kushindwa

Wewe ndio mpuuzi, acha kuwafanya wapinzani kichaka cha woga wako. Kama unaona wana mapungufu si uandamane wewe, kwani unazuiwa na nini?
Huo ndio ukweli, ni mpuuzi tu ndio anaeweza kuandamana kwa maslahi ya viongozi wa upinzani wenye ndoto ya serikali ya NUSU MKATE.
 
Huo ndio ukweli, ni mpuuzi tu ndio anaeweza kuandamana kwa maslahi ya viongozi wa upinzani wenye ndoto ya serikali ya NUSU MKATE.
Sasa inakuuma nini, waache walivyo, wewe kaa ufaidi mema ya nchi basi. Na wala hawakuhitaji wewe zaidi ya kujipendekeza tu, na kujipa uspecial ambao huna.
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza

Siku yaja ambayo hata serikali itumie mbinu gani lakini nguvu ya umma itashinda

Tena mahali ambapo unatumika mkono wa chuma kubana watu siku wakija kuamua utabaki unashangaa

Ni swala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…