Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Huo ndio ukweli, ni mpuuzi tu ndio anaeweza kuandamana kwa maslahi ya viongozi wa upinzani wenye ndoto ya serikali ya NUSU MKATE.Wewe ndio mpuuzi, acha kuwafanya wapinzani kichaka cha woga wako. Kama unaona wana mapungufu si uandamane wewe, kwani unazuiwa na nini?