Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Hilo la asali usisahau chana godoro weka katikati ikiwa na asali na sukari baada ya kuweka sema maneno hapo juu wee taja jina nakutaka unipende unijali uwe mtamu kwangu kama asali na sukari asikuzoee yoyote zaidi yangu tupendne kwenye shida na raha ee mwenyezi Mungu nisaidie,,,,,biow mrejesho hii pia siku saba baada ya siku saba usitoe hilo karatasi atakapotaka kufanya maovu atateseka sana na utakuja nishukuru
 
usiamke asbhukanywa maji ukaenda kunawa mikono yako huo mkojo mchafu..dawa inafanya kazi mkojo wa asbh kabla ya kunywa wal a kuonja kitu
 
Unapooa hufikirii kukosea, ukiona kitu kizuri kina sura nzuri, umbo zuri hichohicho unanata nacho. Mwanamke yeye huangalia mpungu tu kama upo wa kutosha. Kwa habari ya tabia mtajuana mbele ya safari mkichokana ndio kila mmoja atazijua rangi za mwenzake. Uvumilivu unakuwa sifuri mnaachana kama mlivyokutana huku mmoja akiwa amepata hasara kubwa katika mahusiano hayo
 
Kigezo ni kipi kwamba hapa napatia kuoa?
 
Watu wanakosea wanaacha na kusonga mbele ,safari moja huanzisha nyingne.
 
Kama nyumba inabomolewa ndoa si hivyo hivyo ndo maana kuna talaka
 
Ushetwani
 
Furaha ya kweli haitokani na vitu vya nje mjue sana MUNGU utapata furaha na amani ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…