Kosea vyote lakini sio kuoa au kuolewa. Najuta

Umejuaje hili mkuu ?
 
😳🙄
 
...Mmekazana! Miaka Sita watoto Watatu! Pongezini
 
Aisee
 
NUKUU YA NABII/MFALME SULEIMAN.

Mhubiri 1:1-18

1. Maneno ya Mhubiri
, mwana wa Daudi, mfalme katika Yerusalemu
2. Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.
3. Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua?
4. Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima.
5. Jua lachomoza, na jua lashuka, na kufanya haraka kwenda mahali pa maawio yake.
6. Upepo huvuma kusi, hugeuka kuwa kaskazi; hugeuka daima katika mwendo wake, na upepo huyarudia mazunguko yake.
7. Mito yote huingia baharini, walakini bahari haijai; huko iendako mito, ndiko irudiko tena.
8. Mambo yote yamejaa uchovu usioneneka, jicho halishibi kuona, wala sikio halikinai kusikia.
9. Yaliyokuwako ndiyo yatakayokuwako; na yaliyotendeka ndiyo yatakayotendeka; wala jambo jipya hakuna chini ya jua.
10. Je! Kuna jambo lo lote ambalo watu husema juu yake, Tazama, ni jambo jipya? Limekwisha kuwako, tangu zamani za kale zilizokuwa kabla yetu sisi.
11. Hakuna kumbukumbu lo lote la vizazi vilivyotangulia; wala hakutakuwa na kumbukumbu lo lote la vizazi vitakavyokuja, miongoni mwao wale watakaofuata baadaye.
12. Mimi, Mhubiri, nalikuwa Mfalme wa Israeli katika Yerusalemu.
13. Nikatia moyo wangu ili kuyatafuta yote yanayotendeka chini ya mbingu, na kuyavumbua kwa hekima; ni taabu kubwa ambayo Mungu amewapa wanadamu, ili kutaabika ndani yake.
14. Nimeziona kazi zote zifanywazo chini ya jua; na, tazama, mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.
15. Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa,
Wala yasiyokuwapo hayahesabiki.
16. Nikatafakari nikisema, Nimejipatia hekima nyingi kupita wote walionitangulia katika Yerusalemu; naam, moyo wangu umeona kwa wingi hekima na maarifa.
17. Nikatia moyo wangu ili kuijua hekima, na kujua wazimu na upumbavu; nikatambua ya kwamba hayo yote nayo ni kujilisha upepo.
18. Yaani,
Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni;
Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko.
 
Ulimchunguza kabla ya kumuoa ? au ndio katika ile mambo ya kuwahi haraka haraka ili asichukuliwe na wengine,kuja kutahamaki tayari watoto wameshafika watatu...
 
Hahha,,,,na nyie
Nkundi Mzutu Wa Baiskeli Anapogonga Nyundo Wahindi
Wasema Ni Kelele, Mtafutieni Nyundo Ya Silencer Aondoe Hizo Kelele
Na magai yenu, mishipige honi waya mishele....hapo titaelewana
 
Mwanamke sio wakuweka matazamio wana uwezo wakufucha tabia zao kwa mda mrufu hata miaka 10, anakuja kukutesa badaye hata nguvu za kuenda mahakamani huna, wanawake hawabadilikagi ila wa nafichaga tabia dawa ya mwana mke ziko tatu tu, kumvumilia kumuacha au kumtelekeza na kuoa mgine tu.
 
Asipokuonea wivu wewe unataka akamuonee wivu nani???????

Kiburi na mengine mbona ya kawaida ni kujua namna ya kuishi nae na kuignore

Kumbuka hata wewe una mapungufu yako anayamezea tu!!
 
Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…