SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Simba ya miaka hii miwili ya nyuma ilisuffer kutokana na kukosa wachezaji wanaoweza mpira wa kasi. Tulikuwa na kina Chama wanaopoozesha mashambulizi, tulikuwa na kina Saido wanaopoteza mipira hovyo. Kiufupi timu ilikosa sense of speed and style.
Ultrasound ni teknolojia inayotumia katika masuala ya tiba na moja ya kazi yake ni kupima umri wa ujauzito.
Kikosi cha Simba kimefumuliwa na moja ya vipaumbele ni kuleta vijana ambao damu ndiyo kwanza inachemka na ndiyo wanaelekea kwenye prime yao. Wengi wao mkataba wao na Simba ndiyo mkataba mkubwa waliowahi kuingia. Hawa vijana tunawapa kazi moja tu, kuwakimbiza watu hadi wateme bungo. Hiki ni kizazi cha Ultrasound. Hiki kizazi hakijui kuamkia wazee wala kuwajali walemavu. Ni kizazi katili. Mkipaki basi, wanarusha makombora ya masafa marefu yanayoteketeza kizazi chako chote, mamaeee.