Kosi la Simba la 2024-25 ni kosi la UltraSound, kizazi kisicho na adabu

Kosi la Simba la 2024-25 ni kosi la UltraSound, kizazi kisicho na adabu

Kama uliangalia mechi ya kaizer na yanga utanielewa.

Kilicho iponza kaizer ni makosa ya beki goli zote nne ni makosa ya beki hukuona mpaka walitaka kupigana?

Hata augusburg waliifunga yanga kiufundi yaani zile pasi za sekunde nn mpira ushagusa watu watano mpaka unaingia gokini.

Hii simba huo uwezo haina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teseka taratibuu bwasheeee!! Poleeee
 
Na uzuri kina Debora hawatahitaji kuifikia hiyo beki yao mbovu.

Wanawadungua kutokea mbali.

Usiwafungulie code. Waache wajeee

Nikuambie tu kuwa yanga sio APR

Wale APR wanakokota mpira wakifika golini hawajui kufunga,
Kwani wewe unadhani wale Arrows wangecheza kipindi cha pili kama walivyocheza cha kwanza mngekula ngapi?

Nyuma mwiko hawatarudi uwanjani baada ya half time,,
Utabiri unaoweza kabisa kutimia huu

Nadhani yanga sc wanatumia ultraviolet lights ambayo huhitaji kugusanisha kitu,(object) inatumia electromagnetic waves, ultrasound mpaka umguse mtu ndiyo utafsiri tuache kutumia maneno ambayo hatujui maana yake utashindwa kujieleza labda huko mtaani mliko ambako umewakamata na neno ultrasound
Eeeh?

Kweli Simba ina vijana wengi ila KAPOMBE amezeeka sana, ata-icost sana simba!! Angestaafu kwa heshima, asisubiri kurushiwa virago!!
Kapombe abaki ila akubali kuanzia benchi. Uzuri wake ni kiraka, nafasi nyingi anazimudu anaweza kusaidia hapa na pale kama ilivyokuwa kwa Nyoni ila kama hayuko tayari kwa hilo, naunga mkono wazo la kuachana naye. Pia Mwenda asingeachwa.
 
Simba ya miaka hii miwili ya nyuma ilisuffer kutokana na kukosa wachezaji wanaoweza mpira wa kasi. Tulikuwa na kina Chama wanaopoozesha mashambulizi, tulikuwa na kina Saido wanaopoteza mipira hovyo. Kiufupi timu ilikosa sense of speed and style.

Ultrasound ni teknolojia inayotumia katika masuala ya tiba na moja ya kazi yake ni kupima umri wa ujauzito.

Kikosi cha Simba kimefumuliwa na moja ya vipaumbele ni kuleta vijana ambao damu ndiyo kwanza inachemka na ndiyo wanaelekea kwenye prime yao. Wengi wao mkataba wao na Simba ndiyo mkataba mkubwa waliowahi kuingia. Hawa vijana tunawapa kazi moja tu, kuwakimbiza watu hadi wateme bungo. Hiki ni kizazi cha Ultrasound. Hiki kizazi hakijui kuamkia wazee wala kuwajali walemavu. Ni kizazi katili. Mkipaki basi, wanarusha makombora ya masafa marefu yanayoteketeza kizazi chako chote, mamaeee.
Kesho utakuja hapa ........ "oh kibu kauza mechi, ...... mara oh Mangungu hatumtaki.
 
Nakuelimisha, if you do not know where you're going any road will take you there, yaani usipojua unako kwenda barabara yoyote itakupeleka huko usikokujua
Hizo porojo tu Kama porojo nyingine.
 
Ashukuriwe mshika kibendera leo kwa kukataa magoli, kumfunga APR mkojiona Yanga ni timu nyepesi.
 
Simba pumbafu,timu dhaifu uongozi dhaifu. Wote wajinga
 
Simba ya miaka hii miwili ya nyuma ilisuffer kutokana na kukosa wachezaji wanaoweza mpira wa kasi. Tulikuwa na kina Chama wanaopoozesha mashambulizi, tulikuwa na kina Saido wanaopoteza mipira hovyo. Kiufupi timu ilikosa sense of speed and style.

Ultrasound ni teknolojia inayotumia katika masuala ya tiba na moja ya kazi yake ni kupima umri wa ujauzito.

Kikosi cha Simba kimefumuliwa na moja ya vipaumbele ni kuleta vijana ambao damu ndiyo kwanza inachemka na ndiyo wanaelekea kwenye prime yao. Wengi wao mkataba wao na Simba ndiyo mkataba mkubwa waliowahi kuingia. Hawa vijana tunawapa kazi moja tu, kuwakimbiza watu hadi wateme bungo. Hiki ni kizazi cha Ultrasound. Hiki kizazi hakijui kuamkia wazee wala kuwajali walemavu. Ni kizazi katili. Mkipaki basi, wanarusha makombora ya masafa marefu yanayoteketeza kizazi chako chote, mamaeee.
Wewe punga tulikwambia ukakaza matako
 
Saa hizi hili punga linasema ili simba ishinde wamuingize Rais wa nchi mwanasimba, kwamba mangungo awe president wa jamhuri ndio ataridhika

Hebu rudi useme sasa mashine ya ultrasound imekufa au?
 
Back
Top Bottom