Kosi la Simba la 2024-25 ni kosi la UltraSound, kizazi kisicho na adabu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teseka taratibuu bwasheeee!! Poleeee
 
Na uzuri kina Debora hawatahitaji kuifikia hiyo beki yao mbovu.

Wanawadungua kutokea mbali.

Usiwafungulie code. Waache wajeee

Nikuambie tu kuwa yanga sio APR

Wale APR wanakokota mpira wakifika golini hawajui kufunga,
Kwani wewe unadhani wale Arrows wangecheza kipindi cha pili kama walivyocheza cha kwanza mngekula ngapi?

Nyuma mwiko hawatarudi uwanjani baada ya half time,,
Utabiri unaoweza kabisa kutimia huu

Eeeh?

Kweli Simba ina vijana wengi ila KAPOMBE amezeeka sana, ata-icost sana simba!! Angestaafu kwa heshima, asisubiri kurushiwa virago!!
Kapombe abaki ila akubali kuanzia benchi. Uzuri wake ni kiraka, nafasi nyingi anazimudu anaweza kusaidia hapa na pale kama ilivyokuwa kwa Nyoni ila kama hayuko tayari kwa hilo, naunga mkono wazo la kuachana naye. Pia Mwenda asingeachwa.
 
Kesho utakuja hapa ........ "oh kibu kauza mechi, ...... mara oh Mangungu hatumtaki.
 
Nakuelimisha, if you do not know where you're going any road will take you there, yaani usipojua unako kwenda barabara yoyote itakupeleka huko usikokujua
Hizo porojo tu Kama porojo nyingine.
 
Ashukuriwe mshika kibendera leo kwa kukataa magoli, kumfunga APR mkojiona Yanga ni timu nyepesi.
 
Simba pumbafu,timu dhaifu uongozi dhaifu. Wote wajinga
 
Wewe punga tulikwambia ukakaza matako
 
Saa hizi hili punga linasema ili simba ishinde wamuingize Rais wa nchi mwanasimba, kwamba mangungo awe president wa jamhuri ndio ataridhika

Hebu rudi useme sasa mashine ya ultrasound imekufa au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…