KOSOTA Mwanza mnahujumiwa.

KOSOTA Mwanza mnahujumiwa.

Kibwagizo

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
130
Reaction score
8
Ni toka jana ndani ya jiji la Mwanza kuna watu wakishirikiana na Polisi wanazunguka wakidai wanashika wahujumu kazi za wasanii.
Mambo yanayowafanya watu waamini kuwa ni matapeli:
#Wakiojiwa maswali wanakimbia.
#Wanatanguliza kidogo hadi 50000 na ukishawapa wanakuacha ukiendelea kupiga kazi.
-Kwa hili wasanii na Kosota funguka
 
Ilimtokea jamaa yangu jana akawapa 80,000.00.Sasa wizi si uleule.
 
Back
Top Bottom