KOTELA and MRIENY' Primary Schools...


Ila Mboni mlii kiwatengu inaongoza kwa uhuni watoto wa kike na wa kiume ukikutana nao barabarani ni balaa wamekaa kule mtoni Kitanywe pale wanatongozana muda wa shule na wakitoka shuleni jioni wakifika Kitwanywe wanabadilisha mavazi wanaingia kwenye vibaa pale wanakata kitu na wazee wa pale
Hili lilifika mpaka kwa viongozi wa shule na walikuwa na mpango wa kuifanya iwe boarding kwa watoto wa kike sijui lilishia wapi na wazee wa pale mndenyi ni wakware mbaya
 
Last edited by a moderator:

haa imeshaharibika tena ndugu yangu..haikuwa hivyo miaka ya 1999-2006 kwa hiyo miaka niliyokuwekea hapo Mboni ilikuwa Pure kabisa kabisa!!
cc; Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
kuna wazungu fulani wana project yao inaitwa village project education ndo wanamiliki hiyo library
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…