sam shami Member Joined Sep 22, 2016 Posts 70 Reaction score 44 Oct 19, 2017 #1 Nina kovu mguuni haliumi lakini ni gumu nikipaka mafuta asubuhi jioni nakuta pakavu balaa....wataalamu hii haina madhara????
Nina kovu mguuni haliumi lakini ni gumu nikipaka mafuta asubuhi jioni nakuta pakavu balaa....wataalamu hii haina madhara????
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 19, 2017 #2 Hamna madhara mkuu hiyo
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Oct 19, 2017 #3 Umeenda kwa wataalam mkuu? Linaweza likawa na madhara yatakayojitokeza baadae na ikawa umechelewa kuchukua hatua. Kitu chochote kisichokuwa cha kawaida usikipuuzie, hadi utakapohakikishiwa na wataalam kwamba ni kweli hakuna madhara.
Umeenda kwa wataalam mkuu? Linaweza likawa na madhara yatakayojitokeza baadae na ikawa umechelewa kuchukua hatua. Kitu chochote kisichokuwa cha kawaida usikipuuzie, hadi utakapohakikishiwa na wataalam kwamba ni kweli hakuna madhara.
mwalukuni mchanyato JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 404 Reaction score 230 Oct 19, 2017 #4 Pia inawezekana ni dalili za ukoma.Wahi ili ujue usilidharau Mkuu. Tiba bora kuliko tiba!