Kovu linaloongezeka na kuwa gumu lakini haliumi

Kovu linaloongezeka na kuwa gumu lakini haliumi

sam shami

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
70
Reaction score
44
Nina kovu mguuni haliumi lakini ni gumu nikipaka mafuta asubuhi jioni nakuta pakavu balaa....wataalamu hii haina madhara????
 
Umeenda kwa wataalam mkuu? Linaweza likawa na madhara yatakayojitokeza baadae na ikawa umechelewa kuchukua hatua. Kitu chochote kisichokuwa cha kawaida usikipuuzie, hadi utakapohakikishiwa na wataalam kwamba ni kweli hakuna madhara.
 
Back
Top Bottom