koz zp vyuo vikuu zinaendana na profession ya jounarst?

suzy daniel

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
57
Reaction score
10
habar wapendwa, mmi nina dploma ya journalism nataka kubadil koz hii ni koz gan ambazo naweza chua kutokana na fani yang? Naombe msaada wa hlo na jins ya kuapplay
 
marketing....!
 
nichuo gan kizur cha faa kwa masomo hyo ya marketing na nita applay vp naomba unieleweshe
 
habar wapendwa, mmi nina dploma ya journalism nataka kubadil koz hii ni koz gan ambazo naweza chua kutokana na fani yang? Naombe msaada wa hlo na jins ya kuapplay

Kajifunze kuandika kwanza..otherwise kasomee u bar maid..kuapplay ndio nini?mxxxxx
 
habar wapendwa, mmi nina dploma ya journalism nataka kubadil koz hii ni koz gan ambazo naweza chua kutokana na fani yang? Naombe msaada wa hlo na jins ya kuapplay

Nenda askar magereza utapata 7bu utakuwa afisa habar wa magereza
 
wewe unaesema nikajfunze kuandka nawwe nakushaur ukajfnze kusoma kwakuwa huelew nn! application?
 
Back
Top Bottom