Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

Unakuta dume zima na ndevu zake eti linapoteza nguvu zake eti kusoma procurement au envirönment studies!
 
wana jf nimefanya utafiti mdogo kwa wahitimu wa kozi zifuatazo,PSPA,Philosophy,History and archeology,History and Political science,Geography and Environmental na Public relation.Kozi hizo ajira zake zimekuwa ngumu na wahitimu wake wengi wameamua kuwa walimu na kuamua kusomea Postgraduate ya education.Ongezea na ww kozi zingine

Eti vipi kwa upande wa BED IN SYCHOLOGY? NA WAPI UNAWEZA KUPATA KIBARUA MAPEMA?
 
you should not learn to get employed only but learn to have vision for your future and employ yourself.

You should not choose to study the courses that you see have no future,otherwise it may be the wastage of time.

that's 100% true , vijana wanawaza kuajiriwa tu baada ya kufikiria kuwa bosses of their own
 
ukitaka raha nenda kasome ardhi university,lakini usisome course ya ISM na community development
 
You should not learn to get employed only but learn to have vision for your future and employ yourself.

You should not choose to study the courses that you see have no future,otherwise it may be the wastage of time.

umenena ndugu,..ushauri wa maana kweli!!
 
Kozi ambao haina ajira ni ile ya sua unakuwa dr wa mifugo kuchoma mbwa,ngo'mbe sindano.
 
mi natumia kamchina na like nagonga kama kawa! tenda ngoja nimpe now

unatumia driver gani mkuu.

Kwa wanaotumia uc browser wanaweza kuona nani yuko online hata akitumia mchina. sasa weye watumia browser gan mpaka unaweza ku like?
 
Back
Top Bottom