Kozi ambazo ajira zake ni ngumu kupata

International relation and nini sijui
 
kuna ile inaitwa geography and environmental studies..ile haina issue mayb ukawe mwalimu.

Mawazo potofu sana hayo.
Nimesoma kozi hiyo. mimi na classmates wangu wote tumeajiriwa. Ni wanne tu ambao wamejiari kwenye consultancies, za masuala ya mazingira na wamepiga bao sana. In fact hakuna kozi isiyo na ajira, labda kama mtu atachelewa kupata.
 
ww acha utani,education wakimaliza tu wanapangiwa vituo vya kazi hujui shule nyingi za kata zina uhaba wa walimu
tena sasa hivi watafundisha mpaka shule za msingi hata kama una degree.

Hii ndio Tanzania, we implement before planning.
 

kweli kabisa
 
yaan unabahati jf hakuna like kama fb ningekukung'uta like kama 100 mpaka ungeshangaa na roho yako

Mkuu like zipo tatizo litakuwa ktk device yako haikubali kutoa LIKE,comment yako imenifurahisha sana
 
Kuzungumzia swala la uhba wa ajira kwa hapa nchini tanznia , hakuna coz yeyote yenye unafuu , tatizo la ajira ni kubwa. Kwa nchi hii kitakachokubeba upate ajira si coz uliyoyosoma bali ni nani unanyemjua bassi na si vinginevyo. Hivyo basi nakusii acha kuzungumzia swala la ajira kwa mtu mmoja mmoja au coz fulani ,kwani ni wakati wetu (watanzania) kufikiria zaidi kujiajiri kiwe kipaumbele chetu.
 
You should not learn to get employed only but learn to have vision for your future and employ yourself.

You should not choose to study the courses that you see have no future,otherwise it may be the wastage of time.
Huu ndo ukweli mchungu
 
ELIMU BURE, Mwezi wa 3 huu tunaenda,hakuna pesa Mashuleni, SERIKALI inakwama wapi? Walinzi wanaanza kukimbia LINDO, Wazabuni nao wamepamba moto hawataki kutoka huduma, mmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…