Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna ile inaitwa geography and environmental studies..ile haina issue mayb ukawe mwalimu.
tena sasa hivi watafundisha mpaka shule za msingi hata kama una degree.ww acha utani,education wakimaliza tu wanapangiwa vituo vya kazi hujui shule nyingi za kata zina uhaba wa walimu
Kozi ambao haina ajira ni ile ya sua unakuwa dr wa mifugo kuchoma mbwa,ngo'mbe sindano.
If you fail to plan,it mean that you plan to fail.
Hii kulilialilia ajira hii ndo inajaza tegemezi wengi na elimu yetu kukosa thamani,utakuta limtu lina 40's yrs lina shahada ndani lakini linasubiri msosi wa kengere yan limeshaset mind yake haliwezi kusurvive bila ajira huu ni upumbavu!ni kushindwa kuelewa kabisa maana ya elimu,kabla hujaenda kusomea chochote jua kwanza elimu ni nini?
Elimu maana yake ni ule ufahamu na ujuzi ambao binadamu anaupata ili umsaidie ktk kupambana na vikwazo vya maisha........
1.Ujinga,
2.Maradhi
3.Umasikini
kama umeshindwa kupambana na hivyo vitu vitatu hapo juu na unatambia shahada yako ndani wewe ni JANGA!
KUPANGA NI KUCHAGUA
Mbona hawa kazi hazina shida hivyo. Mpaka medical research institutions wanawachukua.
yaan unabahati jf hakuna like kama fb ningekukung'uta like kama 100 mpaka ungeshangaa na roho yako
Kozi Mbwembwe mpango CONNECTION.
Haya Form6 wa 2014 pitieni hapa mpate mwanga.
yaan unabahati jf hakuna like kama fb ningekukung'uta like kama 100 mpaka ungeshangaa na roho yako
Huu ndo ukweli mchunguYou should not learn to get employed only but learn to have vision for your future and employ yourself.
You should not choose to study the courses that you see have no future,otherwise it may be the wastage of time.
Kibongo bongo ni ngumu kumuaminisha mwanafunzi asome ili ajiajiri. Ni ngumu sanaHuu ndo ukweli mchungu