Kozi bora za kusoma

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Habari wakuu..
Msaada wa ushauri kwa hili.
Ni kozi gani nzuri kwa level ya diploma kwa mtu aliye soma mchepuo wa PCB Na kupata division 3 ya point 13.
 
Kwa soko la ajira la kileo...mmhh...Me naona we somea kile ambacho nafsi yako inapenda...ila usitegemee saana kusoma ili kuja kuajiriwa...soma ili uje ujiajiri...fikiria fani gani unapenda na utaweza kujiajiri ndipo usomee...

Habari wakuu..
Msaada wa ushauri kwa hili.
Ni kozi gani nzuri kwa level ya diploma kwa mtu aliye soma mchepuo wa PCB Na kupata division 3 ya point 13.
 
Political engineering.. Field unaenda kufanyia Lumumba... Lazima u shine...
 
Habari wakuu..
Msaada wa ushauri kwa hili.
Ni kozi gani nzuri kwa level ya diploma kwa mtu aliye soma mchepuo wa PCB Na kupata division 3 ya point 13.

3 ya 13 haina credits za kwenda degree??
 
Habari wakuu..
Msaada wa ushauri kwa hili.
Ni kozi gani nzuri kwa level ya diploma kwa mtu aliye soma mchepuo wa PCB Na kupata division 3 ya point 13.
kwani umepataje kwenye masomo?manaake naona unapoint za kuendelea na degree.
 
Kasomee kozi ya kung'oa kucha na meno bila ganzi utakula ajira fasts usalama wa taifa....kitengo cha ujasusi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…