Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu..
Msaada wa ushauri kwa hili.
Ni kozi gani nzuri kwa level ya diploma kwa mtu aliye soma mchepuo wa PCB Na kupata division 3 ya point 13.

chuo gani
Lumumba Academy..fanya kumuona Mwigulu Nchemba..yumo humu.
Nafasi bado zipo
kwani umepataje kwenye masomo?manaake naona unapoint za kuendelea na degree.Habari wakuu..
Msaada wa ushauri kwa hili.
Ni kozi gani nzuri kwa level ya diploma kwa mtu aliye soma mchepuo wa PCB Na kupata division 3 ya point 13.
mwaka huu...
inazo tena zote.