Kozi fupi za Computer Mwanza

Kozi fupi za Computer Mwanza

skinless

Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
45
Reaction score
73
Habari Wananzengo,

Ningependa kutafuta chuo kinachotoa kozi fupi za kompyuta kilichopo mjini Mwanza. Chuo hicho kiwe na ubora wa hali ya juu ili kuweza kumfaidi ndugu yangu katika kukuza ujuzi wake.

Nawasilisha.
 
VETA?
St Joseph watakua nazo pia.
Pia UCC tawi la Mwanza.
Ukitaka cheap nenda Bright Comp Center au Igan Comp Training Center.

Ziko kibao.
 
VETA?
St Joseph watakua nazo pia.
Pia UCC tawi la Mwanza.
Ukitaka cheap nenda Bright Comp Center au Igan Comp Training Center.

Ziko kibao.
Hii st.joseph nipe kirefu chake
Ucc walifunga branch yao ya mwanza
Veta hawana kozi
Ngoja nizitafute na hizo bright na igan
 
Back
Top Bottom