sir mndolwa
Member
- Feb 18, 2015
- 13
- 0
Nina degree ya Bsc with Education (chem & bios) sasa nataka kusoma masters yoyote ya afya ili nihamie wizara ya afya.Naombeni msaada kozi gani nikasome na chuo gani kwa bongo kwanza hapa
kasome diploma ya lab sciences au radioloy. uombe kazi ya afya then ukasoma masters kwenye fani za afya.
Ni waZo jema sana,usiende kufanya masters,kwan masters Siyo sifa ya ajira ktk serikali,isipokuwa ni added advantage ya degree ya kwanza uliyosomea equivalently,nachokushauri,soma postgraduate diploma ya public healthy mwaka 1,then utafanya mchakato uhame idara,bdae ndo ufanye masters yake,usipoelewa uliza tusaidiane