Kozi gan ya masters nikasome ili nihamie wizara ya afya

sir mndolwa

Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
13
Reaction score
0
Nina degree ya Bsc with Education (chem & bios) sasa nataka kusoma masters yoyote ya afya ili nihamie wizara ya afya.Naombeni msaada kozi gani nikasome na chuo gani kwa bongo kwanza hapa
 
Ni waZo jema sana,usiende kufanya masters,kwan masters Siyo sifa ya ajira ktk serikali,isipokuwa ni added advantage ya degree ya kwanza uliyosomea equivalently,nachokushauri,soma postgraduate diploma ya public healthy mwaka 1,then utafanya mchakato uhame idara,bdae ndo ufanye masters yake,usipoelewa uliza tusaidiane
 
kasome diploma ya lab sciences au radioloy. uombe kazi ya afya then ukasoma masters kwenye fani za afya.
 
Ni waZo jema sana,usiende kufanya masters,kwan masters Siyo sifa ya ajira ktk serikali,isipokuwa ni added advantage ya degree ya kwanza uliyosomea equivalently,nachokushauri,soma postgraduate diploma ya public healthy mwaka 1,then utafanya mchakato uhame idara,bdae ndo ufanye masters yake,usipoelewa uliza tusaidiane

Wazo zuri sana mkuu nimelipenda!!
 
Ni waZo jema sana,usiende kufanya masters,kwan masters Siyo sifa ya ajira ktk serikali,isipokuwa ni added advantage ya degree ya kwanza uliyosomea equivalently,nachokushauri,soma postgraduate diploma ya public healthy mwaka 1,then utafanya mchakato uhame idara,bdae ndo ufanye masters yake,usipoelewa uliza tusaidiane

nilitaka kumsaidia hivyohivyo...... good idea
 
nimekuelewa chuo gani kizuri kwa bongo hapa wanaitoa hiyo public health
 
Back
Top Bottom