Kozi gani bora kati ya Logistics and Shipping na Transport and Chain Management

Kozi gani bora kati ya Logistics and Shipping na Transport and Chain Management

Joined
Jun 6, 2022
Posts
7
Reaction score
2
Habari wakuu,

Samahani naomba msaada kuna dogo anataka kusoma kuhusu haya mambo. Course gani bora kati ya logistics and shipping na transport and chain management?

Naombeni mchango wenu.
 
Zote zina hela...shida kupata ajira zake...ni mwendo wa konekisheni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Logistics and shipping ni nzuri mchawi ni aende chuo cha bandari chenyewe na auwe kwenye GPA akipata gape milion 4 per month haimkosi
 
Najuwa mpk sasa application zimefungwa kama akichaguliwa mwambie anitafute chuoni kwa jina la husna chikwela mie ni mmoja wapo nnaesomea moja kati ya kozi hizo
 
Shipping wengi huwa wanaajiriwa TASAC na Mara chache saana TPA

Nafasi za ajira zipo ila akiweka tamaa mbele pccb watamnyoosha

Nina miaka chini ya 5 kazini ile nimeshuhudia zaidi ya wafanyakazi 19 wakiachishwa kazi [emoji22] kisa vijisenti kiduchu tu
 
Kumbe bro …. Bc naomba contact zako apate kujuwa zaid
 
Back
Top Bottom