Kozi gani bora kati ya Logistics and Shipping na Transport and Chain Management

Kozi gani bora kati ya Logistics and Shipping na Transport and Chain Management

Najuwa mpk sasa application zimefungwa kama akichaguliwa mwambie anitafute chuoni kwa jina la husna chikwela mie ni mmoja wapo nnaesomea moja kati ya kozi hizo
Ndugu samahani naomba nisaidie namba yako ninajambo nataka kushare nawe kuhusu mambo ya bandari au naomba unitumie sms ukiwa online 0719788806
 
Shipping wengi huwa wanaajiriwa TASAC na Mara chache saana TPA

Nafasi za ajira zipo ila akiweka tamaa mbele pccb watamnyoosha

Nina miaka chini ya 5 kazini ile nimeshuhudia zaidi ya wafanyakazi 19 wakiachishwa kazi [emoji22] kisa vijisenti kiduchu tu
Ndugu naomba niasaidie namba yako tushare jambo . Ndugu
 
Back
Top Bottom